Our lyric quality team has reviewed and locked these lyrics. If you think we need to take another look at them please flag them.
Our lyric quality team has reviewed and locked these lyrics. If you think we need to take another look at them please flag them.
(Intro)
Yeahhh aah,
manze nilipatana na huyu dame
Akanishow ati hakuna manzi wakali
So nikampeleka Decimal
Akapatana na P Unit
halafu Msyoka akanipea hii track
Twende kazi
(Verse 1)
Frashaa mii mkare
Nilianzanga mziki tu na Nakitare
Akashikanisha tuu na dakitare
si unajua frasha nakuwaga dakitare
but mtaani mii ni ordinare
siwageti kare
boss nimnare
ndio maana tudame tunashindanga kelele
wanataka mkando wa kando ati niwadare
boss, hey, nishamarry
niko mdogo mdogo tu kwenye gare
mmh hah siusare
nikisonga mbele wako pale pale
pale pale pale pale
sii tuko club tuna pare pare
Palelezo yaani pare pare
Tunarusha mizuka pale pale
(Chorus)
Maishani mwangu, (maishani mwangu)
Sijampata mkare, mkaree, mkaree
Maishani mwangu (maishani mwangu)
sijamwona mkare, mkare, mkaree
(Verse 2)
Bon-eye jemedare, mkare
mistare generale, kare
generale tangu kale, kare
kikundi serikale, yaane
serikale tangu kale, kare
Haijalishi kale gani, kare
kazi zote kare kare
na katika ile hali, kare
kaa serikali inahurry, kare
carry forward, kare
carrey francis hale
safari za mbali mbale, kare
Biashara mbali mbale
Hatuchoki na hii safare kare
Sauti za kinyumbane, kare
Wekelea kwa dakikale, kare
Ya dakikale na ni kare.
(Chorus)
Verse 3
Buganya mimi nina swale
Madada kibao wote shware
wanavuka mbele yangu na ni sare
wanataka leta noma na kucheza ngware
kwangu kuja nje kuna mbwa kare
nyumba ndani huko pata bibi mkare
mkare, mkare, mkare na si mkale
Kare
Nimengara kali kali kani toka kare
Nimechapa toto wale wale bado kale
kama umeshindwa basi leta tule
naungeze tule ndio mi nikule
kuja tulelembe tuko lembe
enyewe kuwa manyu wanataka lembe
wanakaa nakatika kama wembe
Otwabey cheki utambe!
(Chorus)